1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
nakupa 420000, kesh kama inawezekana nichek kwenye no yangu 0769038065ninauza simu ya samsung galaxy note 2 kwa Tsh 480,000 ni original na iko kwenye box lake nmeitumia kwa wiki kama mbili imenunulia tarehe 14/2/2014, sababu ya kuuza ni nimepata simu nyingine nataka kununua soo nauza hii niongezee ninunue, mwenye kuitaka asisite kunitafuta 0716651694 nipo dar mikocheni B
nakupa 420000, kesh kama inawezekana nichek kwenye no yangu 0769038065
ninauza simu ya samsung galaxy note 2 kwa Tsh 480,000 ni original na iko kwenye box lake nmeitumia kwa wiki kama mbili imenunulia tarehe 14/2/2014, sababu ya kuuza ni nimepata simu nyingine nataka kununua soo nauza hii niongezee ninunue, mwenye kuitaka asisite kunitafuta 0716651694 nipo dar mikocheni B
uko wapi mkuu?
Lazima iwe clone au mbovu au iuzwe kwa shida, vinginevyo bei hiyo haiwezekani kwa original note 2 Dar. Kuweni makini
Hiyo fake au imeshajichokea, period! Nazijua sana hizo simu, tena kuna aina ya HDC clone zinarespond kila samsung test. Kuna njia moja tu ya kuweza kuzijua kwa usahihi,yeah lazma uwe makini uweze at least kuzijua codes za kuchek kama samsung ni original au clone,, mimi nauza ii coz nmepeata mpya nataka niongezee nichukue iyo ndo saabu kubwa haina ata creak na ina screen protector na kava lake,,,, soo simu bado ipo bei ni haipungui naomba mwenye kuitaka anPM
Hiyo fake au imeshajichokea, period! Nazijua sana hizo simu, tena kuna aina ya HDC clone zinarespond kila samsung test. Kuna njia moja tu ya kuweza kuzijua kwa usahihi,
Big joke! S2 for note2! Better go for Nokia TorchMkuu unakishuku kitu hata hujakiona bdo!! Kwani mtu si anauza kwamatakwa yake binafsi au kuna kiwango specially kimewekwa kwa note 2 isiuzwe chini ya hapo??? Mimi ninayo nimeletewa toka oman wala sina mzuka nayo kwa sababu zangu binafsi. Km kuna mtu ana galaxy s2 + 180k namuachia or 480k cash mimi nipo zanzibar
Big joke! S2 for note2! Better go for Nokia Torch
Whoever is going to buy that make sure you enter this code *#0*# once you enter the code, this will appear where you can perform different tests as seen on the picture. If that does not happen. Count it has fake. Also try to run CPU identification test where the second pictcure shows. Just go to samsung website and try to see the specifications for galaxy note 2 and compare with the ones on the CPU identifier. If the specs are different on cpu, gpu and ram also count it as a fake one. Thanks.