Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 413
- 240
Simu tajwa inauzwa Tshs 300,000/= tu. Iko ktk hali nzuri, 16 gb internal memory, na haina tatizo lolote. Ina screen protector ya kioo, back cover na charger. Nipo Dsm. Kama ungependa kuwa nayo tafadhali nicheki kwa 0688 65 82 92 nitakuletea uione kama upo ndani ya Dar. Asanteni.