Sokoni kuna simu za aina mbili, original mpya ambayo imetoka kwenye viwanda vya Samsung/Apple na haijawahi kutumika sehemu yeyote,
Sasa kuna ambazo wanaita refurbished, used kutoka nje hizi zinauzwa sana hapo kariakoo na zinanunuliwa kwa wingi kuliko original maana bei ya original ni kubwa zaidi, lakini pia quality yake kuanzia processor, kioo, camera na performance kiujumla ipo chini japo ni ngumu kutofautisha kwa mtu asiyefahamu simu