Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
S5 kwa 350,000? Ni clone au genuine
Clone mkuu
Clone mkuu
Naomba nikuulize swali la dhati ili nipate kuelewa. Hizo clone zinaupungufu gani ukiringanisha na original. Ni nini au program gani iliyopo original ambayo nitaikosa nikichukua clone au nini nitapungukiwa?
Clone mkuu
Clone ndio nini wakuu?
Duuh hizi mkuu original kweli ?? Nilipita pale samsung shop JMO samsungs S5 ni sh 1,5mil .sasa hizi ni umezipata wapi mkuu kwa 350000??
Kwanza haikai na charge, nusu saa tu charge kushney, camera haiko clear, na inapata moto sana ukiicharge, nk