Samsung led 32 inch flat screen inauzwa

Samsung led 32 inch flat screen inauzwa

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,432
T.v aina ya samsung flat screen mpya kwenye box lake( brand new ) yenye ukubwa wa inch 32 quality ya LED inauzwa bei 565,000 mwenye kuhtaj apige simu na. 0714061310 zimebaki mbili tu.
 
Kaka mi nina laki nne taslim kama utanifikiria na mimi nisaule majicho
 
Kaka mi nina laki nne taslim kama utanifikiria na mimi nisaule majicho
Kumbuka hyo ni brand new unafungua mwenyewe kwenye boksi lake tena ni led bora hata ingekuwa lcd kwa bei hyo huwez kupata.
 
Naomba kuuliza kuwa Kati ya SUMSUNG LED 32 LG 32 ipi bora na gharama interm of price nA Je led 32 hiyo waiuza wapi??
 
Naomba kuuliza kuwa Kati ya SUMSUNG LED 32 LG 32 ipi bora na gharama interm of price nA Je led 32 hiyo waiuza wapi??

Almost same price , Samsung iko higher kidogo , hivi viwanda viko na product almost zinafanana tofauti inaweza kuwa design Tu, mfano kwa tv za samsung na lg tofauti unaweza kuta ni arrangement au positioning ya led lights nyuma ya lcd screen (this is too technical) ila ubora wake ni vigumu kutofautisha kwa macho. Kama unaweza njoo inbox nikuelekeze the cheapest place in Dar pia unaweza lipa kwa installments .
 
Harafu hujatupa specification zake..hujasema ni series 4 , 5 je ina oudio output, hdmi, inasoma external devices kama flash ? je ina built in decoder(king'amuzi)...
 
kuweni makini na hzo flat za samsung wakuu mchina kesha toa copy nimeona kwa jamaa yangu kauziwa ntaupload hapa mzitambue zilivyo
 
Back
Top Bottom