chuma jr
Member
- Oct 17, 2015
- 89
- 138
Nicheki kwa namba hizi 0746862603
Unaedit tu au siyoChukua 120,000 mkuu
Uko wapi mkuuView attachment 819330 View attachment 819331 View attachment 819331 Laptop used inauzwa ni Dell latitude 2100 processor ni 1.6GHz Windows 7 mashine ipo vizuri sana haina tatizo lolote hata kidogo mashine ni nzima kila sector unaikagua kabla ya kuichukua bei ni ya jioni kama nilivyosema naanza na Tshng 200,000/= negotiable unaweza kuleta ofa yako ikilipa tunafanya biashara.
Nicheki kwa namba hizi 0746862603
Hahaaaaa kausha mkuuUnaedit tu au siyo
Mbona hujasema hard drive ni ngapi? Hujasema upo Tz au Nje ya Tz, Hujasema mkoa ulipo, hujasema betri linadumu kwa muda gani.
Anyway kwa atakayenunua kama itakua chini ya GB 320 nimuuzie yangu. Haina case wala waya so ni kuchomekwa tu kwenye mashine.
Tsh 40,000.
Juu ya nini?Haaa.!
Au nimeona vibaya
elufu harubaini kamashine kanauzwaJuu ya nini?
Hebu soma vizuri.elufu harubaini kamashine kanauzwa
duuuuuu