Royal Warrior JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 1,166 Reaction score 2,144 Jun 6, 2021 #1 Habari zenu wapendwa, Leo nawaletea offer nzuri kabisa. Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu. Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii haina kazi kwa sasa. Napatikana Dar es salaam. Njoo Pm kwa mawasiliano au weka namba yako kwenye comment nikutafute. Karibuni sana.
Habari zenu wapendwa, Leo nawaletea offer nzuri kabisa. Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu. Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii haina kazi kwa sasa. Napatikana Dar es salaam. Njoo Pm kwa mawasiliano au weka namba yako kwenye comment nikutafute. Karibuni sana.
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,652 Reaction score 19,264 Jun 6, 2021 #2 Bdi iko juu sana Bro 2021 hii
Elly255 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 884 Reaction score 1,432 Jun 6, 2021 #3 J7 unauz 280k??? Simu ya 2015 are you serious? Ukitaka mteja uza chini ya 50k
J Jmc06 JF-Expert Member Joined May 11, 2016 Posts 2,024 Reaction score 4,240 Jun 6, 2021 #4 Watanzania wengine huwa hamtumii akili... Simu iliyotengenezwa kiwandani mwaka 2015 unauza 280K!??...
Watanzania wengine huwa hamtumii akili... Simu iliyotengenezwa kiwandani mwaka 2015 unauza 280K!??...
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,961 Reaction score 3,919 Jun 7, 2021 #6 Ukiwa tayari nistue nikupe 70
Royal Warrior JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 1,166 Reaction score 2,144 Jun 7, 2021 Thread starter #7 Solomon Mdogo said: Ukiwa tayari nistue nikupe 70 Click to expand... Lete 240k tufanye biashara
Royal Warrior JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 1,166 Reaction score 2,144 Jun 7, 2021 Thread starter #8 Jmc06 said: Watanzania wengine huwa hamtumii akili... Simu iliyotengenezwa kiwandani mwaka 2015 unauza 280K!??... Click to expand... Mm nilinunua laki 6 na nusu hiyo mwaka mmoja uliopita
Jmc06 said: Watanzania wengine huwa hamtumii akili... Simu iliyotengenezwa kiwandani mwaka 2015 unauza 280K!??... Click to expand... Mm nilinunua laki 6 na nusu hiyo mwaka mmoja uliopita
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,746 Reaction score 27,214 Jun 7, 2021 #9 Royal Warrior said: Mm nilinunua laki 6 na nusu hiyo mwaka mmoja uliopita Click to expand... Kitu gani kinaifanya iwe na bei kubwa wakati miaka imepita sana mkuu..?
Royal Warrior said: Mm nilinunua laki 6 na nusu hiyo mwaka mmoja uliopita Click to expand... Kitu gani kinaifanya iwe na bei kubwa wakati miaka imepita sana mkuu..?
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,096 Reaction score 2,820 Jun 7, 2021 #10 J7 200k???????????
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,961 Reaction score 3,919 Jun 7, 2021 #11 Royal Warrior said: Lete 240k tufanye biashara Click to expand... Kwa hio hela napata camon 16s used
J Jmc06 JF-Expert Member Joined May 11, 2016 Posts 2,024 Reaction score 4,240 Jun 8, 2021 #12 stephot said: Kitu gani kinaifanya iwe na bei kubwa wakati miaka imepita sana mkuu..? Click to expand... Huyo muhindi alipigwa, bila aibu anajieleza alivyoingizwa mkenge. Hakuna mjanja atanunua J7 hata kwa laki 2. Hata iwe imetumika ulaya. Toleo la 2015 humuuzii mjanja yoyote hata laki 2.
stephot said: Kitu gani kinaifanya iwe na bei kubwa wakati miaka imepita sana mkuu..? Click to expand... Huyo muhindi alipigwa, bila aibu anajieleza alivyoingizwa mkenge. Hakuna mjanja atanunua J7 hata kwa laki 2. Hata iwe imetumika ulaya. Toleo la 2015 humuuzii mjanja yoyote hata laki 2.