Samsung J 7 - 16 Gb ( 2016 ) For sale

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wadau,

Nauza samsung J7 16 GB

Bei Tsh 375,000 Tu - 0787 408180

Ipo dar posta mpya

Simu inakuja na charger tu.

Clean white..



 
...kama ipo tufanye nyeusi tufanye biashara, isiwe copy lakini
 
...dah, anyway subiri aje huyu kwakuwa namnunulia mbeibe si mbaya ila rangi nyeupe mi siwezi tumia coz naona imekaa kike kike
 
....nimeona contacts nitam call
Ana kweli watu hatufanani.
Mimi simu nyeusi huwa hazinibariki kabisa na simu zangu ni nyeupe always.

Ichukue simu hiyo mkuu,nzuri na bei yake nzuri.
Jaribu simu nyeupe uone raha yake,hutojuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…