Betri imechoka badilisha mkuuMsaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka Lock haiwaki bila kuweka kwenye charge ndipo itadisplay. Ila ikiwa asilimia 100% -70% unaitumia vizuri bila shida.
Tatizo nini wakuu???
Samsung hazikai na moto Kwa muda mrefu lakini siyo Kwa namna unayosema yamkini hiyo ndo zile Samsung made in KoreaMsaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka Lock haiwaki bila kuweka kwenye charge ndipo itadisplay. Ila ikiwa asilimia 100% -70% unaitumia vizuri bila shida.
Tatizo nini wakuu???
Hilo toleo bovu kinyamaMsaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka Lock haiwaki bila kuweka kwenye charge ndipo itadisplay. Ila ikiwa asilimia 100% -70% unaitumia vizuri bila shida.
Tatizo nini wakuu???
Shida itakuwa kwenye screen yaani Kioo Kitakuwa kinashida mkuu KabadilisheMsaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka Lock haiwaki bila kuweka kwenye charge ndipo itadisplay. Ila ikiwa asilimia 100% -70% unaitumia vizuri bila shida.
Tatizo nini wakuu???
Unachekesha kwel ,sasa infinix ni simuWhy uteseke kutumia simu kimeo kisa una ringia brand?
Nunua simu mpya ama kama huna pesa kanunue infinix hot8-10 then hutojutia kuhusu chaji wala hayo matatizo uyaonayo kwenye iyo Samsung yako ya mchongo.
Tafuta pesa braza Samsung sio mbovu..izo mtumiazo ni jamii ya itel mchangamko wenye jina na brand ya samsung[emoji23][emoji23][emoji23].
Kama hujui watu wa Asia hasa Chinese, Korean,indian wanapenda sana biashara za ujanja ujanja ndiomaana wanawaletea masimu mabovu ambayo ni copy ya simu nzuri lkn hawamaanish kuwa hawana simu OG, hiz original ni special kwa wenye uwezo tu, nyie wengine endeleeni kutumia hayo mabovu
Hiyo simu niliwahi kutumia miaka ya zamani storage 8gb ram 2 ilinitesa sana nikaamua niigawe bureeMsaada Simu yangu Samsung Grand prime pro.
Ukiiwasha kama iko asilimi chini ya 70% haiwaki bila kuiweka kwenye charge ndipo uiwashe. Na hata ikikosea umebonyeza batani ya kuzima kwa kutaka kuiweka Lock haiwaki bila kuweka kwenye charge ndipo itadisplay. Ila ikiwa asilimia 100% -70% unaitumia vizuri bila shida.
Tatizo nini wakuu???
Akibadili simu atapata amani zaidi.Badilisha betri problem solved