Habari za majukumu wakuu nina samsung gt laini moja haishiki 3G wala H+ yan inakamata H ni mitandao yote kidogo mtandao wa Halotel inakamta H but inakuwa na kasi kiasi, na niliiflash kama mara 2 hivi yan nikiweka Tigoo ndo balaa hamna lolote lile
Naombeni msaada kwa hili au sysyem yake inatakiwa ibadilishwe au inakuwajee