unaa boksi lake,risiti yakeEFD ya duka ulilonunulia na any related isije ikawa ni ya hawa waliopotea nikawa sehemu yaa ushahidiSamsung galaxy grand prime plus
Bei sawa na bure.
200k net.
Ni pm tuzungumze.View attachment 894873View attachment 894874
Kha!! Fisi? 50,000?unaa boksi lake,risiti yakeEFD ya duka ulilonunulia na any related isije ikawa ni ya hawa waliopotea nikawa sehemu yaa ushahidi
kama vipo Kula fisi tufunge duka
Kahangaika mno humu toka juzi hainunuliwiUngejaribu KUPATANA
Sim ndogo bei kubwa. Kaipost nyuz kma zooote lkn wap!Kahangaika mno humu toka juzi hainunuliwi
Sim ndogo bei kubwa. Kaipost nyuz kma zooote lkn wap!
Kwani anaiuza Tsh ngapi 2Alitakiwa auze bei gani iwe ndogo??? Mbona hiyo ni bei sawia kabisa kulingana na simu husika??
Ha ha ha umenikumbusha mbali na kiswahili cha fisi...eti kula fisiunaa boksi lake,risiti yakeEFD ya duka ulilonunulia na any related isije ikawa ni ya hawa waliopotea nikawa sehemu yaa ushahidi
kama vipo Kula fisi tufunge duka
Haswaaaaa...jamaa kasema kula fisi amalize mchezoKha!! Fisi? 50,000?