Samsung galaxy young duos kwa bei poa

Samsung galaxy young duos kwa bei poa

Eliya Konzo

Senior Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
100
Reaction score
56
Ni samsung gt-s6102

Kwa sifa zinazokuja na simu search jina la simu na neno "specifications" kwenye google;

Nilizoongeza ni...


Tayari nime root, install busybox na CWM

Ipo kwenye hali nzuri, ina protector na plastic case

Ina custom kernel ya guru, inaruhu android firewall kufanya kazi, inaongeza bettery lifetime

Ina dual standby, sim zote zinakua active dual 3g

ina link2sd nakupa na memory ya 8gb ambayo nimesha ipartition ya gb1 kwa 7 ni kama kuadd gb1 kwenye internal

Imetolewa host za ad servers.. Hutaona tangazo wakati wa kutumia apps zinazotegemea hizi server(%95 ya apps kwenye play store)

Ina dsp manager kutoka kwenye cynogenmod

nipo mitaa ya buguruni malapa dar simu 0684580371
 
Bei ni 270 nimetoa 50 nzima kutoka bei ya retail iliyotajwa na samsung ya 320... Plus nakupa na MMC ya gb 8
 
Na hivi ndio inavyoonekana
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1355465106277.jpg
    uploadfromtaptalk1355465106277.jpg
    67.6 KB · Views: 95

Similar Discussions

Back
Top Bottom