Kama mzigo umeuelewa ni cheki 0752 490238 asante!Nauza samsung tablet, (SM - T211). Haijatumika sana, ila kioo chake kama kinavyoonekana pichani namba 3 ikiwa imezimwa, internal memory ni 16GB. Full specs angalia hapa GALAXY Tab 3 7" - TECH SPECS | SAMSUNG
bei/ price Tshs 500,000/= laki tano.
kwa bei hiyo bora niendelee kuitumia mwenyewe.
Huo ni mtazamo wako ndugu, kwa bei hiyo unayosema wewe huwezi kupata mpya labda kama unazungumzia tablet za kichina hapo sawa.500000? Kioo kimepasuka? Bei ya kioo 70000
Mpya 550000 tena haijatumika. Hapo fair chukua 300000 otherwise bora uendelee kutumia mwenyewe. Kama ulivyosema. Ukibahatika kumjua hajui mambo haya kila la heri.
Nauza samsung tablet, (SM - T211). Haijatumika sana, ila kioo chake kama kinavyoonekana pichani namba 3 ikiwa imezimwa, internal memory ni 16GB. Full specs angalia hapa GALAXY Tab 3 7" - TECH SPECS | SAMSUNG
bei/ price Tshs 500,000/= laki tano.
Nauza samsung tablet, (SM - T211). Haijatumika sana, ila kioo chake kama kinavyoonekana pichani namba 3 ikiwa imezimwa, internal memory ni 16GB. Full specs angalia hapa GALAXY Tab 3 7" - TECH SPECS | SAMSUNG
bei/ price Tshs 500,000/= laki tano.
250,000 lete
Kuna galaxy tab 1, ya inchi 7 kwa vei iyo