juzi juzi nilitoka maduka ya samsung nikaona kuwa wanauza kama 945,000 hivi (sipo very sure na exact amount ila nakumbuka ni laki 9 na kitu). Na kuna mtu nilisikia anauza 750,000 ikiwa kwenye box. Na hizo zote zina zinaingiza line. Sasa nahisi kuwa unaweza kuipata hiyo galaxy tab 2 10.1" kwa bei rahisi zaidi ya hizo. Subiri wadau waje