Kwa kua umeonyesha huna utaalam wowote kabisa kwenye haya mambo, ni vema ukafanyiwa na mtu, ningekwambia ufanye mwenyewe ila kwa mtu ambaye hata google hukujua ilipo ukaja jamii forums ukielekezwa hutoelewa jinsi ya kufanya, afu kwa kua hamna update ya kawaida hadi uinstall custom ROM ambayo inahitaji rooting then installation process hiyo ina risks kama kufail na tablet yako kugoka kuwaka, ikitokea hilo utahitaji ku-restore, process zote hizo kuelekezana humu na exxperience yak tutatumia masaa... tafuta tu wataalamu face to face wakusaidie wako wengi wenye uwezo wa hili wiku hizi..