Samsung galaxy tab 10.1 for sale

Samsung galaxy tab 10.1 for sale

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
638
Samahani wakuu na habarini za jioni au sijui niseme usiku.

Ninauza samsung galaxy tab 10.1, 32GB, full HD,inatumia cheep(cim card) Na ina cover yenye kipard.

Bei yake ni TSh.laki 7 and no blah blah. Kitu bado kipyaa....yaani nimeitumia Mwezi na nusu tu.

KWa mwenye kuihitaji naomba aniPM au anipigie cim 0712 954 516
 
Chip=cheep?
Keypad=kipard?
Rekebisha hizo, kila la kheri kwenye biashara.
 
Tuwewazoea,mnanunua za kichina halafu mnajitia mmetumia mwezi,ili tusi doubt bei.
 
Sio ya mkandarasi kweli hiyo?
 
Samahani wakuu na habarini za jioni au sijui niseme usiku.

Ninauza samsung galaxy tab 10.1, 32GB, full HD,inatumia cheep(cim card) Na ina cover yenye kipard.

Bei yake ni TSh.laki 7 and no blah blah. Kitu bado kipyaa....yaani nimeitumia Mwezi na nusu tu.

KWa mwenye kuihitaji naomba aniPM au anipigie cim 0712 954 516
Warranty?
 
Nna laki tano mkuu. Kama inalipa nipm tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom