Samsung galaxy siii

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Heshima mbele wana jamvi
naomba kujua bei ya simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabisa tena orijino.
Nawasirisha.
 
Heshima mbele wana jamvi
naomba kujua bei ya simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabisa tena orijino.
Nawasirisha.

kuna jamaa humu jf anaziuza 595000.(
www.facebook.com/
GodfreyElectronics )
 
Nashukuru mkuu kuna jamaa anataka kuniuzia 500,000= full boxed na vitu vyake ila ni made in Vietnam hivi na hawa waviet nao huwa wanatengeneza orijino ??
 
Samahani kama nimekukera !!
 
Nyingi ya s3 zimetengenezwa Vietinam nako pia Samsung wana kiwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ