black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
- Thread starter
-
- #21
Battery la s7 limeboreshwa ukilinganisha na la s6... ndo maana hata bei yake inatisha.. ina 3000mAh wakati s6 ina 2600mAh.Simu za Samsung ni nzuri Sana Lkn tatizo ni chaji tuu
Kaka ukienda kwenye account yangu utagundua hii simu ya sita nauza katika kipindi cha miezi mitatu... siuzii shida ila ni utaratibu wa familia yetu wa kutaka kwenda sambamba na kila toleo la samsung.. kwa mfano kwa sasa nahitaji s7 edge plus kabla sijaingia kwenye s8 mwezi September..Hili simu bomuuu ...ndo maana huyu anauza
Hiyo nikupe s6 flat kaka..600k mkuu
Hpn mkuuHiyo nikupe s6 flat kaka..
Internal 32gb
Camera 16mp
Ram 3ghz.
Ongeza 100k nikupe s6 edge.. au ongeza 150 nikupe s6 edge plus.Hpn mkuu
Ndio maana zinauzwa bei kubwa... kaulizie bei ya bomu ndio utaelewa.
Nsongeza 50k natak s6 edge +Ongeza 100k nikupe s6 edge.. au ongeza 150 nikupe s6 edge plus.
S6 edge plus shop 1.4m.. mkononi utauziwa si chini ya 750k kwa nzima.. chini ya hapo ikatae.Nsongeza 50k natak s6 edge +
PoaS6 edge plus shop 1.4m.. mkononi utauziwa si chini ya 750k kwa nzima.. chini ya hapo ikatae.
Kweli mwana... sasa hivi sijibu tena meseji.. ukiona unaweza kumudu 750k chukua namba piga tuyajenge.. sishushi zaidi ya hapo.Watu kama hawana faranga bana wanasumbua kweli,,
Mtu anauza simu,kama seriously unafika bei pakua mzigo,
Ila safi tu,mmenifanya nicheke asubuhi hii
Kama haina risiti utakuwa ya wizi kuweni majibu jamanKaka nilipoinunua hii simu sikujua kama ipo siku nitaiuza... hivyo sikutunza risiti yake.
Ni kweli kaka... ni ya wizi ndo maana nimejianika kwenye mitandao ili mwenye nayo anikamate.Kama haina risiti utakuwa ya wizi kuweni majibu jaman
Zile ni note 7 mkuuHizo si ndio zile zenye milipuko muda wowote zinalipuka?
Nimeondoa kaka... imebaki 1.4mMilimani city kuna kodi kubwa sana hapo ondoa 18% ya VAT
Hata hivyo zimesharekebishwa na kurudishwa sokoni...Zile ni note 7 mkuu
Acha kutia watu woga ili kutangaza biashara yako.S6 edge plus shop 1.4m.. mkononi utauziwa si chini ya 750k kwa nzima.. chini ya hapo ikatae.