black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Kaka imepotea kwako tu... zunguka kwenye mabaa makubwa utaona watu bado wanagombania kulipa bili..Mkuu kwa sasa hela imepotea sidhani kama utapata soko ila endelea tu kutangaza wenda ukapata mteja.
Ndio maana zinauzwa bei kubwa... kaulizie bei ya bomu ndio utaelewa.Hizo si ndio zile zenye milipuko muda wowote zinalipuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf bwanaNdio maana zinauzwa bei kubwa... kaulizie bei ya bomu ndio utaelewa.
Ndio maana zinauzwa bei kubwa... kaulizie bei ya bomu ndio utaelewa.
Kwa bei ndogo mkuu.. bei kubwa dukani.Hahahaaaa....sasa Muuzaji unawatahadharisha Wanunuzi kuwa unauza bomu kwa bei kubwa mkuu.
Duuu....umetisha kiongozi
Hahahah kweli mkuu maana wanasema 'usiseme hatuna pesa sema sina pesa'.Kaka imepotea kwako tu... zunguka kwenye mabaa makubwa utaona watu bado wanagombania kulipa bili..
Simu tajwa hapo juu, used in good condition, inauzwa kwa discount ya zaidi ya tshs. 800k..
Niliinunua Mlimani city mwezi wa tisa mwaka jana kwa tshs. 1750,000 na naiuza kwa 880k..
Kwa wanaozielewa s7 tuwasiliane kwa 0687 089980... kwa picha na biashara.
Kaka mi huwa naogopaga sana kutekenywa.. we jivute ufike 850k nikususie mzigo..Kaka naitaka ile pesa yangu haijafika huko
0786371108 nitafute hapa nikupe ofa yangu kama itakutekenya maskio
Kaka nilipoinunua hii simu sikujua kama ipo siku nitaiuza... hivyo sikutunza risiti yake.Mmmh weka na risiti kabisa
Hili simu bomuuu ...ndo maana huyu anauzaSimu za Samsung ni nzuri Sana Lkn tatizo ni chaji tuu
hahahahaha amaaa kweli dawa ya jeuri ni kibriNdio maana zinauzwa bei kubwa... kaulizie bei ya bomu ndio utaelewa.
Kaka huwezi kupata bomu kwa laki tatu.... labda baruti.Simu bomuu sana hizo..kama unachukua laki 3 ni pm tufanye biashara