black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
- Thread starter
-
- #21
Kaka we una akili ila huna confidence.. ni aina ya wanafunzi wanaojaza majibu sahihi kisha anafuta anaweka pumba!.Ilishuka na mvua ya wiki iliyopita.
Natania boss mi mwenyewe nataka kujua aliipataje.
wapi nimesema nina duka?Duka lenu zinauzwa shilingi ngapi kaka?!..
Kwenye uzi mwingine..wapi nimesema nina duka?
sasa kwanini umeuliza kwenye uzi huu?Kwenye uzi mwingine..
Kaka kwenye ukoo wenu inaonyesha hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kumiliki simu hata ya laki saba!!..Ina nyumba umo umo
Zote zangu..sasa kwanini umeuliza kwenye uzi huu?
uza laki3.Zote zangu..
Haya..uza laki3.
32gb.. single line and memory card, nano sim, camera 16mp.Oi memory capacities and other specs like camera ??? Inatumia nano SIM or Micro SIM
Ndio boss ila wana mashamba tuKaka kwenye ukoo wenu inaonyesha hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kumiliki simu hata ya laki saba!!..
Ok.. endeleeni kusubiri mvua.. haya mambo ya anasa mtuachie wenyewe wabishi wa jiji.Ndio boss ila wana mashamba tu
The front camera ?? Na bei ya mwisho!!32gb.. single line and memory card, nano sim, camera 16mp.
Front 12, bei ya kuuza 650kThe front camera ?? Na bei ya mwisho!!