black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Laki3 mkuuNo dent no scratch
Mpya kasoro box
Chaja bure
Kwa serious buyer 0687 089980
Mbagala
Bei 680.. inapungua kidogo.View attachment 681471View attachment 681472
Unaona kabisa kama jamaa hawaijui hata simu yenyewe!!... 350k hata s6 hupati.. s7 edge dukani 1.5 bila risiti.. ukitaka risiti ni almost 2m.Duh! watu mna hatari kutoka laki sita mpaka laki tatu!
Subiri mwanangu wa kindergarten akirudi shule atakujibu swali lako.. kwa elimu yangu ya degree sidhani kama nitaweza kulijibu kwa ufasaha kaka!..Uliipataje mkuu?
Ilishuka na mvua ya wiki iliyopita.Uliipataje mkuu?
No dent no scratch
Mpya kasoro box
Chaja bure
Kwa serious buyer 0687 089980
Mbagala
Bei 680.. inapungua kidogo.View attachment 681471View attachment 681472
Hapana.. ni single sim card na memory card.Mkuu vp hii simu je ni DUOS?
(Inatumia SIM cards mbili)
Hapana.. ila ina sexy doll la kizungu.Ina nyumba umo umo
Hp inataka 750 fixed.Hyo hp huuzi ndugu
wacha uongo hilo duka la kijjn kwen?Unaona kabisa kama jamaa hawaijui hata simu yenyewe!!... 350k hata s6 hupati.. s7 edge dukani 1.5 bila risiti.. ukitaka risiti ni almost 2m.
hiyo simu ishakuwa chakavu chukua laki3.No dent no scratch
Mpya kasoro box
Chaja bure
Kwa serious buyer 0687 089980
Mbagala
Bei 680.. inapungua kidogo.View attachment 681471View attachment 681472
Kaka jambazi nahisi kama umevamia uzi!!..Microsoft? Dah mfumo wake ni sawa na wa nokia lumia?
Kuna nokia lumia ya macrosoft ilinishinda kuitumia ngoja wapenzi wa mrengo huo watajisongeza
Ila utakapo gundua huwezi kuiuza kwa hiyo bei, nitakupa Laki na Nusu..
Simu za samsung hazichakaagi ndani ya miezi miwili.. utakuwa huzijui!!.hiyo simu ishakuwa chakavu chukua laki3.
Duka lenu zinauzwa shilingi ngapi kaka?!..wacha uongo hilo duka la kijjn kwen?