TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,834
- Thread starter
-
- #61
Huyu bwana Mkubwa tumefanye exchange deal kanipa Samsung s7 na 370k nikampa IPhone 7+256 gb anakuja sema Simu fake Mara atanitoa bikira sasa Mimi nipo willingly anikamate afu anitoe bikira afu mimi nifate njia kuu.Mazee joo mbona kuna vagi pande iii
kopi nashindwaje kuijui,wakati hapa natumia geunine..Wewe copy unazijua wewe???
Saa tisa hyo inakwenda kumi bado tu hamjaonana!Bado yupo geto kalala akisubiria mjinga mwingine wa kumpiga copy ya s6 edge..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana Mkubwa tumefanye exchange deal kanipa Samsung s7 na 370k nikampa IPhone 7+256 gb anakuja sema Simu fake Mara atanitoa bikira sasa Mimi nipo willingly anikamate afu anitoe bikira afu mimi nifate njia kuu.
Bikra pekee uliyonayo ni ya mkundu... namaanisha hivyo.. natamani ungekuwa na moyo wa kunipeleka polisi ili mradi nikutane na wewe live.. nina uhakika wa kukufanya ninachokusudia hata mbele ya polisi kwa jinsi nilivyokuwa na hasira na wewe.. fanya tu kujisalimisha tuyamalize.. la sivyo issue hii itatupa umaarufu mimi na wewe muda si mrefu.. kama simu yako siyo fake kwa nini unaikata!?.. mi nimekuruhusu hata kama hela umekula nirudishie tu simu yangu unayosema haipandishi mnara..0715 193810 na hii ndo namba yako usiponikamata na kunionyesha bikira Mimi nitakukamata kwa kauli yako ya kihuni.
Well Mzee Mimi nakusubiri.Bikra pekee uliyonayo ni ya Makalio... namaanisha hivyo.. natamani ungekuwa na moyo wa kunipeleka polisi ili mradi nikutane na wewe live.. nina uhakika wa kukufanya ninachokusudia hata mbele ya polisi kwa jinsi nilivyokuwa na hasira na wewe.. fanya tu kujisalimisha tuyamalize.. la sivyo issue hii itatupa umaarufu mimi na wewe muda si mrefu.. kama simu yako siyo fake kwa nini unaikata!?.. mi nimekuruhusu hata kama hela umekula nirudishie tu simu yangu unayosema haipandishi mnara..
Sent using Jamii Forums mobile app
Catch me if you can..
Watanzania bhaana,sasa hapo biashara gani imeharibiwa!? Si amekusaidia kujua kuwa muuzaji ni tapeli!? Yaani ww unamtetea tapeli ili aendelee kutapeli..!? Ukifuatilia ubishani wao,mbona ipo wazi mmoja ni tapeli?
Kaka we mwelewa sana.. sijajua hata jamaa anatetea nini, ila nilikuwa sijisikii kumuuliza tu.Watanzania bhaana,sasa hapo biashara gani imeharibiwa!? Si amekusaidia kujua kuwa muuzaji ni tapeli!? Yaani ww unamtetea tapeli ili aendelee kutapeli..!? Ukifuatilia ubishani wao,mbona ipo wazi mmoja ni tapeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora useme
Huyu hajatapeliwa ivi unajua kutapeliwa wewe??anatafuta public apologyWatanzania bhaana,sasa hapo biashara gani imeharibiwa!? Si amekusaidia kujua kuwa muuzaji ni tapeli!? Yaani ww unamtetea tapeli ili aendelee kutapeli..!? Ukifuatilia ubishani wao,mbona ipo wazi mmoja ni tapeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usianze kurukia watu wengine,maelezo na maswali ya nn!!? Mbona kuthibitisha km ww si tapeli ni issue ndogo sana..mwenzio kaweka hadi namba ya simu hapa kwe public,kakuomba uende mtaa wa aggrey,umesema simu yake mbovu,amekuambia mpelekee tu hiyo simu na zile pesa ubaki nazo. Wewe hapo tatizo linatoka wapi!? Umepewa namba za simu halafu unauliza hapa upo aggrey duka gani? Yaani akili za kitoto kabisaa!!Huyu hajatapeliwa ivi unajua kutapeliwa wewe??anatafuta public apology