Samsung Galaxy s6 Edge

TheGodfather95

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,763
Reaction score
1,834
Nauza Samsung Galaxy s6 edge
32 gb
16mp
Bei:550000 fixed price.
Location: Dar es salaam.
 
Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha pole sana mkuu, kweli hii sim ni feki pale juu kushoto original ina vitundu vitatu nashangaa hii ina viwili. wanunuaji kua macho.
 
Naona dogo ile milioni uliyoniuzia iphone 7 fake ishakwisha sasa umekuja na kopi nyingine ya s6 edge.. ndo maisha uliyochagua hayo ya utapeli.. muda si mrefu utapoteza bikira wewe.. nitakutia mikononi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu hujatoa milioni kuwa muwazi asee s7 yenyewe umeniuzia bomu hadi saivi haitumiki imei imeandikwa Vienna badala ya Samsung s7 mtandao haipandishi imefungiwa in short.
 
Afu hujatoa milioni kuwa muwazi asee s7 yenyewe umeniuzia bomu hadi saivi haitumiki imei imeandikwa Vienna badala ya Samsung s7 mtandao haipandishi imefungiwa in short.
S7 niliinunua 1.4m.. nikakuongeza na 380k.. jumla shilingi ngapi?.. na kama haisomi njoo nikuwekee namba ya siri ambayo wakati unanikimbia ulisahau kuniomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S7 niliinunua 1.4m.. nikakuongeza na 380k.. jumla shilingi ngapi?.. na kama haisomi njoo nikuwekee namba ya siri ambayo wakati unanikimbia ulisahau kuniomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi kaka black chinese ukiwa muongo uwe na kumbukumbu umetoa 380 ukaomba 10 ya guest nikakupa 370 nimepitia thread zako hyo simu ulikuwa unauza 700k na Simu umekaa nayo mdaa na inapungua bei kutokana na mdaa hilo hujui? Simu haisomi nikukute wapi nije??man to man??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…