kaburu mdogo JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 567 Reaction score 400 Feb 25, 2014 #2 mkuu umenifurahisha kwa hii topic yako maana hata mie nahitaji mojawapo kati ya simu hizi,naomba wataalam watuambie na bei yake pamoja na uimara wake kwa ujumla ni ipo bora zaidi ya nyingine.
mkuu umenifurahisha kwa hii topic yako maana hata mie nahitaji mojawapo kati ya simu hizi,naomba wataalam watuambie na bei yake pamoja na uimara wake kwa ujumla ni ipo bora zaidi ya nyingine.