samsung galaxy s5 inauzwa 550,000 tshs mbeya

samsung galaxy s5 inauzwa 550,000 tshs mbeya

Bila shaka hiyo ni clone. Tayari umepigwa wewe. S5 Clone bei yake ni Tshs. 80,000/=.
 
ni mpya kabisa ina siku 2 ni pm kama upo interested

Hii simu madukani haijashuka bei, bado iko 1.35million. Kama umenunua kwa mtu kamrejeshee, ni clone hiyo.
 
Unauza baada yakugundua ni fek?..unataka tugawane hasara ?
 
Unataka tugawane hasara, hiyo upepigwa kitu cha clone, original ml1.1, clone elf 80,000/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom