Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

Kivyere

Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
81
Reaction score
37
Una pesa kidogo lakini na ww unatamani kumiliki hii mashine kwa dola 100 tu za Obama unapata yako chap mpya full box ni hizi clone au copy mtaani wanaziita mchina japo ni made in korea . kila kitu sawa na original mpaka sensor inafanya kazi , tofaut yake na original ni kwenye camera na memory
 
Nashindwa jinsi ya kushare pic ila kama unaijua s4 original zinafanana kabisa kwa muonekano then ni mpya kabisa unapata na vifaa vyake
 
tofauti ya clone na original si camera na memory tu, hata processor iko slow, screen hawatumii AMOLED, hawana Samsung softwares, sensor nyingi hawana hata wifi hakuna, lte hakuna, ram ndogo.. ni jina tu S4 ila haina tofauti na low end phones nyingine..
 
Clone na zenyewe zina grade mkuu unayosema ww ni kweli ila kwa grade ya pili au ya tatu ila first copy ina sensor, Samsung software zipo na WiFi inayo
 
Police na inspector wa samsung someni hapa kazi imerahisishwa hamna haja tena ya kwenda kariakoo kukamata simu feki... serikali mpo wapi nachukis sana bidhaa feki
 
Mkuu tatizo ni pale ukimuuzia mtu simu hizi kwa bei ya zile halisi na simu hizi sio fake ila zinatengenezwa under license
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom