Habari zenu waungwana. Nami pia nimekutwa na majanga natafta screen ya Samsung Galaxy Note 4 (SM-N910C) rangi ya gold. Nipo dar nimecheck maduka ya SAMSUNG mlimani city hawana, SAPNA pia hawana. Changamoto ipo kwenye rangi, kila nakoenda wanazo black na white tu hiyo ya Gold hawana. Nitashkru nikelekezwa sehemu nyingine nayoweza kupata hii kitu.