Samsung Galaxy s3

Original nyeupe imetimika mwez mmoja tu..nakupa kila kitu na box lake pia...whatsapp me 0767525054 bei 580000
 
Jaman nina laki3 nataka hyo cm niuzien ela ngumu kupatikana hapo ndio mwisho wangu wajamen!
 
Kuna jamaa kanipitishia Samsung Galaxy S-5 kwa bei ya 130,000/=
sasa sijui zina tofauti gani au ni fake?
na tofauti kati ya Galaxy S-3 na hiyo S-5 ni ipi wakuu

huyu jamaa nikimpata nitakuPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ