mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 362
Habari zenu wana jf
Samsung galaxy s2 used ipo kwenye hali nzuri inauzwa bei laki 5.5
Samsung galaxy s2 used ipo kwenye hali nzuri inauzwa bei laki 5.5
Jamii Forum inakuwa gulio. Wamachinga wameacha tindo wa zamani wa kutembeza bidhaa na ssa wame"digitize" mfumo wao wa biashara. hongera
Vp laki nne unachukua?Hiyo hapo
Hiyo hapo
wewe ni mzungu??acha ku google bwana embu tuwekee picha halisi tufike bei..
'sasa huo si mkono tu aisee kwani hakuna mchaga mwenye ngozi nyeupe kama hiyo ndugu'
babaake, instal apk inaitwa Juice Defender, halafu lete matokeo baada ya siku mbili tatu.S2 bwana tatizo battery
Hazikai na charge in long run!!
Tena ukiwa ume set vibration ON! Babaa tembea na chaja apo
S2 bwana tatizo battery
Hazikai na charge in long run!!
Tena ukiwa ume set vibration ON! Babaa tembea na chaja apo
kwamtoro;
Shusha shusha. Mimi nina laki tatu
hapana hyo hailipi
attach the picture of it inorder members to see