Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 149
Aisee kiongozi issui ya charge ni janga la kitaifa kwanza linachangiwa na network unstable (especialy internet) ukiweka off internet charge inakaa muda mrefu, lakini 99% ya smartphone zote charge ni issue otherwise kama unataka simu ya kukaa na charge siku saba inabidi urudi kwenye simu za tochi uachane na smartphone. Kama unailaumu Samsung Galaxy S2, utaziweza HTC, iphone na Blackberry ambazo ni smartphone, charge hazikai kwa sababu ya application kuwa nyingi sana!S2 bwana tatizo battery
Haziweki charger in long run!!
Tena ukiwa ume set vibration ON! Babaa tembea na chaja apo
Nina simu ambayo sio smartphone ina kaa na charge 14 days kama vipi ni PM ila ni kupiga cmu na sm tu.