M Mr. madevu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 432 Reaction score 75 Feb 22, 2014 #1 Nahitaji samsung galaxy s2, Bajeti yangu ni Tsh. 230000 Niko Arusha.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,588 Reaction score 76,579 Feb 22, 2014 #2 Mkuu hiyo simu sijui km utapata labda mchina.
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,707 Reaction score 1,417 Feb 22, 2014 #3 nnayo naiuza ila kwa bei hiyo mnh... advice:jichange atleast budget ianzie 300k
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,915 Reaction score 7,122 Feb 23, 2014 #4 hiyo Simu ya mwaka 1940 unaulizia ya nini humu
M Mr. madevu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 432 Reaction score 75 Feb 23, 2014 Thread starter #5 Msarendo said: hiyo Simu ya mwaka 1940 unaulizia ya nini humu Click to expand... Acha zarau dogo, wenyewe bado wanatengeneza sababu wanajua kuna watu wanazihitaji.
Msarendo said: hiyo Simu ya mwaka 1940 unaulizia ya nini humu Click to expand... Acha zarau dogo, wenyewe bado wanatengeneza sababu wanajua kuna watu wanazihitaji.