Samsung Galaxy S III: Is it really an iPhone killer?

Hapo kwenye read u wish! Si wangeanza na mafriji na Tv lol

Just to show jinsi ulivyo nyuma. Just google Samsung S3 and you will see what Achahasira was saying.
 
I admire your passion for nokia,....... but did you here Sumsung and Apple have 99% of the profits of the mobile phone market au wewe upo kwenye lile kundi wanaochagua only what they want to hear...... its that way for a good reason market force mainly innovation and our friends @ nokia have been left behind...
 
@ chief-mkwawa tatizo lako unaingiza "Nokia" concepts kwenye emotions zako,



unajisahau kabisa kuwa kuna blog za watu wa kawaida wamefungua kuelezea kile wanachojiskia kuhusu Nokia,, hakuna simu mpaka sasa iliyotengenezwa Na 41MP mpaka sasa, hizo bado ni concept phones!!! Ni wajibu wako kushikilia hilo kichwani!! Na unasifia Nokia wakati mpaka sasa 2012 hawajatoa simu hata moja yenye Dual Core processor, Samsung G SIII tayari inatumia Quad Core, Apple wameweka Quad Core Graphics kwenye iPad 3!! Nokia kuna nini kipya? Wanabadilisha color tu ya housing za simu!!
 

I think we ndo una bias na nokia na wakitoa kitu kizuri hutaki kuamini we upo dunia gani mpaka hujui kama nokia wana simu ina 41 megapixel na ina post zaid ya 5 humu jf ikiwemo ile iloelezewa vizuri na kwakina na mtazamaji?

Hebu tembelea link hii ya gsmarena labda utaamini
Nokia announces PureView 808 with a 41 MP sensor - GSMArena.com news

Kuhusu processor za samsung hilo changa la macho hehehe nimezisoma kwa umakini processor zao na zinafanya kazi kwa kila moja kua assigned kwenye task fulani mfano processor 1 inacheza game, ya pili inasoma email na ya 3 inaangalia video incase processor ya 1 ya game imezidiwa processor ya 2 inayosoma email haiwez kumsaidia so nini maana yake?

Software za nokia zinajulikana kwa kua light why quad core? Wakati one core yenyewe inatosha sana tu.

Ona mfano gameboid ni emulator ya kucheza gameboy games katika android ina kb 530 wakati vbag ya nokia ni kb 123 same utility zote unacheza gameboy ila android ukubwa wake ni mara 5 ya nokia so unavofkiri wewe great thinker nani anahitaj quad core?

Ngoja apollo inatoka midomo yote itafunga hio. Halafu jiulize why samsung anataka na yeye ajiunge na dead operating system ya window 8 heheh
 
simu yenyewe inatoka May hii,



hizo post zake za humu JF za lini, kabla ya simu kutangazwa au baada ya kutangazwa officially? unatakiwa usome user reviews kwanza watu waliowahitumia hiyo simu, sijaskia ikitangazwa kwenye vyombo vya habari na mimi ni mfuatiliaji sana wa hivyo vitu,, hapo sanasana wameweka a $400 worth camera on a $200 worth phone, ndo maana kila kukicha unaskia kampuni ya Nokia imepata hasara!!!
 
mnachobisha ni nini nyie chif mkwawa upo right hivi vitu kumbe bado taarifa hamjazijua kama unabisha gonga hapa Nokia 808 PureView - Full phone specifications
shiny na wewe hiyo simu umeiona kwa macho au vipi, mbona link yako inaonyesha vizuri kuwa "Status Coming soon. Exp. release 2012, May" au huoni? subiri kwanza waiRelease kama ilivyo kawaida ndo muanze kuiongelea, unaezashanga wamegundua fault kwenye simu wakaiDeclare kama Industrial Failure na wasiitoe,,
 
Yo, u need to be up to date. Nokia wanayo simu ya 41 megapixels and its a symbian OS powered phone!
nitajie model ya hiyo simu yenye camera ya forty one megapixels!
 

Haha wanchekesha kwani huu mwez wa ngap kaka hii si ndo may? Haya nakupa tena link (sio blog ) official page za nokia

Hii hapa unaoneneshwa pa kununua nokia 808 india
Nokia 808 PureView - Nokia - India

Hehehe halafu nokia kasema hakutakua na version ya marekani hapo safi sana kwanza washaanza uza india then russia then itasambaa asia sasa tuone na wao marekani kama hawatakua kama tz tu waende nchi za watu kufungasha bidhaa
 

quad core isikutishe sana kijana, inategemea na os unayorun, ujui kuwa android inatumia resources kubwa kuliko os yoyote! OS kama symbian haiitaji processor kama quad core to run smooth inaweza kurani kwenye 1Ghz more faster than android kwenye dual core. so kuweka processor kubwa kupita kiasi itakuwa ni kuongeza cost ya device pasipo msingi. Read here why android ui is lagging http://bit.ly/tsOWZA
 
Its currently the best,feature rich,spec wise phone in the world right now...period. Mwenye arguments aniambie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…