samsung watu wanamkimbia sku hizi manufacture wengine hawatoi order nyingi kwake na hivyo anashindwa kucopy innovation za wenzie.
sasa hvi kabaki quantity tu. proceesor, ram, kioo ye anaongeza ukubwa kwake ndo inovation.
kama unataka processor kubwa nunua note 3 maana imepita simu zote kwa speed (even lg g2 na sony honami) ila kama unataka experience tofauti zimezinduliwa phablet nyingi kama xperia z ultra na xiaomi mi3
nasubiria nokia bandit aje kudestroy all

hiyo xiamo m3 haina sehemu ya kuweka memorycard
ila ina internal 16 au 64 gb. memory card inafanya simu inakua slow
inapatkana wap.?bei gan