Huwezi eka version ya kimataifa na hata ukiweka ussd ni ngumu kurudi. Kwa simu za kikorea eka lineage os labda inaweza kusaidia ila usiwe na hope sana.ASante sana Nimeirejesha kwenye hali yake ya Mwanzo kabisa ambayo ni version 6.0.1 ambayo ni N910F sasa hapa naomba muongozo wa Kuweka version ya Kimataifa yaani N910F ambayo nitaweza kutumia USSD hapa Nyumbani
Mkuu msaada na mimi tafadhali.Samsung A7 yangu imegoma kusoma 4G kwa line ya tigo ilhali awali ilikua inasoma nimekukuruka wewe bila mafanikio nimeiupdate software lakini bado inasoma H+ tuHuwezi eka version ya kimataifa na hata ukiweka ussd ni ngumu kurudi. Kwa simu za kikorea eka lineage os labda inaweza kusaidia ila usiwe na hope sana.
Komaa tu na app za tigo na voda nunua vifurushi na apps na fanya miamala ya hela na appsm
Hujabadili eneo? Ni model gani? Nenda setting kisha about kuona model yake.Mkuu msaada na mimi tafadhali.Samsung A7 yangu imegoma kusoma 4G kwa line ya tigo ilhali awali ilikua inasoma nimekukuruka wewe bila mafanikio nimeiupdate software lakini bado inasoma H+ tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechapia tu hapo nilitaka kuandika App.Naomba Kufahamu kama Airtel Money wana app ya Vifurushi na Pia Miamala ya Kipesa umesema nikomae na APPSM kwanza naomba kufahamu hii ni nini na pia naipata wapi hii? Asante sana tuanze kwanza Hapa CHIEF MKWAWA
Mkuu hivi box gani cracked ni zuri kwa kuflashia simu mkuu aina zote au atleast au hata kama sio zote ni miracle box au lipi na samahani nisaidie link ya latest mkuu ntashukuru sana.AhsantehUlivyo root ndio umesababisha hiyo error ya recovery,chakufanya download stock firmware mpya kisha flash..
Next time ukitaka ku root anza ku flash twrp kwanza na kisha backup rom yako ndio uflash root files
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Tumia tu njia za kawaida kuflash, box hutumika kutatua baadhi ya matatizo ila kuflash tumia software husika ya simuMkuu hivi box gani cracked ni zuri kwa kuflashia simu mkuu aina zote au atleast au hata kama sio zote ni miracle box au lipi na samahani nisaidie link ya latest mkuu ntashukuru sana.Ahsanteh
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
Na youtube channel nzuri pia kwa kujifunzia hii kitu mkuu.
Unataka kuflash simu aina zipiMkuu hivi box gani cracked ni zuri kwa kuflashia simu mkuu aina zote au atleast au hata kama sio zote ni miracle box au lipi na samahani nisaidie link ya latest mkuu ntashukuru sana.Ahsanteh
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa
Na youtube channel nzuri pia kwa kujifunzia hii kitu mkuu.
Bado nahitaji mkuu kufahamu hayo matatizo husika niyapi pia nahutaji kuwa nalo ili napokutana nayo nitatue mkuu,pia sio mbaya ukinisaidia hizo software husika.Tumia tu njia za kawaida kuflash, box hutumika kutatua baadhi ya matatizo ila kuflash tumia software husika ya simu
Zote mkuu maan ni ki biashara mkuu ko yeyote itakayokuja niweze ku deal nayo.Unataka kuflash simu aina zipi
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kila simu ina njia yake ya kutoka na hata hayo mabox utakuta kila moja lina specialize kitu fulani. Njia bora ni kujifunza hakuna software moja itakayotosheleza mahitaji yote. Mfano hizi ni baadhiBado nahitaji mkuu kufahamu hayo matatizo husika niyapi pia nahutaji kuwa nalo ili napokutana nayo nitatue mkuu,pia sio mbaya ukinisaidia hizo software husika.
Nshafanya mkuu jamaa wamekuwa wagumu sana kutoa ushirikiano ndo maana nikaamua nije hapa jukwaani kiongozi naamini ni sehemu sahihi pia hivo vingine ntajiongeza mwenyewe ndo maana nikaomba sources na mwanga na baadhi ya wapi nitapata hizo software ingekuwa ni vema sana.AhsantehKila simu ina njia yake ya kutoka na hata hayo mabox utakuta kila moja lina specialize kitu fulani. Njia bora ni kujifunza hakuna software moja itakayotosheleza mahitaji yote. Mfano hizi ni baadhi
-Itune kwa simu za Iphone
-smartswitch, kies na Odin kwa simu za samsung
-sp flash tool kwa mediatek phones
-lg flash tool kwa lg
-mi flash tool kwa xiaomi etc
Na hata android box kuna za ku unlock simu fulani, za frp etc
Wenzako wanavyofanya wanaangalia soko mfano vodafone smartkicka na huawei za Tigo zina soko sana kwenye ku unlock!, tafuta box lake.
Kwa uelewa zaidi fanya survey kwa jamaa wanaoflash.
Nichek pm nikupe grup la mafund simu,watakusaidia humoNshafanya mkuu jamaa wamekuwa wagumu sana kutoa ushirikiano ndo maana nikaamua nije hapa jukwaani kiongozi naamini ni sehemu sahihi pia hivo vingine ntajiongeza mwenyewe ndo maana nikaomba sources na mwanga na baadhi ya wapi nitapata hizo software ingekuwa ni vema sana.Ahsanteh