Samsung galaxy note 3 bei 800000 tu

Samsung galaxy note 3 bei 800000 tu

Conroy

Senior Member
Joined
May 23, 2014
Posts
158
Reaction score
44
bado kama mpyaa kabisa haina mchubuko wowote haina tatizo lolote, nimeitumia mwezi mmoja tu, sababu ya kuuza nina hitaji laki nane ya haraka. bei sishushi nipo Dar Africana
 
Laki 6 niPM fasta
 
naiuza mwisho laki 8, ni nyeusi nzuri kabisa ina 32gb na ni original bila dosari, kama upo serious nipm, siiuzi kwa faida nna uhitaji tu wa laki 8 hiyo ya haraka
 
siku hizi watu hawanunui cm za gharama kama hizo.watu wanakomaa na Techno kwa kuwa zote.pamoja na ya kwako
zina application sawa.sasa yanini kugharamika?kawauzie wabunge
 
Sema nimelala njaa usiseme tumelala njaa. Wepi hawanunui simu za bei ghari? Sema mimi (wewe) hununui/sinunui ! Tecno ni umasikini tu, nani hapendi prado? Benz, jaguar,
 
asante sana kwa kumpa elimu huyo jamaa anayekomaa na tecno na kuidharau galax note3
 
siku hizi watu hawanunui cm za gharama kama hizo.watu wanakomaa na Techno kwa kuwa zote.pamoja na ya kwako
zina application sawa.sasa yanini kugharamika?kawauzie wabunge

We pimbii kwelii kwelii tecno unatumia we na mkeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom