Habari zenu wakuu
Simu yangu sielewi ina tatizo la betri ama laa. Nikicharge ikifika 100% nikichomoa inakuja 99% au saa zingine 95%
Na si chini ya watu wa3 mpaka wa4 nimewasikia wanalalamikia swala hili.
Kama yupo anaeelewa kusolve tatizo hili basi naomba msaada.