Samsung galaxy gt-i9500 (s4 clone) inauzwa

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,592
Heshima kwenu brothers and sisters,samsung galaxy s4 clone inauzwa bei 250,000/=, simu ni almost mpya as nimetumia miezi miwili tu,ina android 4.2 Jelly Beam, eye gesture, smart screen, processor ni 1.5ghz, 16gb internal memory, ina 3g, wifi, camera with flash, autofocus, na feature nyingine nyingi,mi nilinunua Korea kwa usd 180 January this year,,, kwa haraka haraka ukiwekewa na S4 ginuine unaweza ukashindwa kutofautisha hadi utulie sana,, kiukweli ni nzuri kama ni mpenzi wa android phone utaenjoy, naiuza sababu nina shida ya pesa na nimepata BB Z10 so smart phone 2 hazina umuhimu1-Muonekano wa mbele na hub yake.Kwa anaehitaji anitumie private message ili aweze kuiona na kufanya maamuzi...
 
weka picha mkuu
 
Naomba picha nifanye uamuzi kwani nahitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom