Samsung galaxy note3, s4, s5 super clone for sale

Samsung galaxy note3, s4, s5 super clone for sale

marty

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
770
Reaction score
27
samsung galaxy note3 super clone price 290000tsh.jpgsamsung galaxy s4 super clone price 190000tsh.jpgsamsung galaxy s5 super clone price 250000tsh.jpg
samsung galaxy note3 super clone price 270000tsh
samsung galaxy s5 super clone price 250000tsh
samsung galaxy s4 super clone price 190000tsh
call 0713388226
 
Naomba kujua clone ndo nin cc. Chief_mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Clone ni copy madame, inamaanisha si original samsung but zinafanya kama samsung @ mrs. Dago
 
Tuamshane ni kqeli zinafananana na kufanya kama origino ,kindende kwenye quality ya picha unayopiga kwa kutumia camera zake no ovyo kabisa au low wuality na pia zinakuwa kiza kwenye mwangaza mdogo au kivuli ,kwa bei ya milioni bora uende china zinauzwa kwa mafungu.
 
China sio Dar mkuu kwamba kila mtu anaweza ku afford naui kwenda na kurudi...

Huko baba watu watumia mipesa mingi go and return, food and accomodation nk

Kama huna pesa ya simu ya bei ghali, piga kimya! komaa na tochi uongeze mwanga usiku!

lol... comedy at its best..
 
Naomba kujua clone ndo nin cc. Chief_mkwawa

clone=mchina

lugha ya wafanyabiashara hiyo kupunguza ukali wa maneno

mfano hiyo s5 usitegemee kua water resistant au camera yake kua kali au air gestures au eye scrolling tec au scratch resistnt pia kioo low quality full lagging etc. yaani utakua ni simu ya show tu but matumizi fyongo.
 
Anha nashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom