Kwahiyo mkuu mwisho kabisa ngapi?haina tatizo lolote....ila kuna ear phone imekatikia kwny earphone port so ni issue ya kufunguliwa na kutolewa hicho kilichokatikia....but inapiga mzigo fresh
Upo maeneo gani mkuu?
hiyo simu itakua mbovu tu,hivi kwa nn mnakua na roho zisizo na utu kwa wenzenuuuuu,tunanunua simu hatukai nazo siku mbilio tatu ushaharibika,ukienda kwa ufundi unaambiwa ilishapigwaga soannerDuos Core Prime
android v4.4.4
8GB
5mpxl
2mpxl
BEI 120000/= TU
MAWASILIANO 0717 351717
View attachment 547886 View attachment 547888 View attachment 547887