Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,455 Reaction score 5,326 Sep 26, 2015 #1 Salaam wapendwa, Ninatafuta simu tajwa hapo juu siipati zilizopo kwenye maduka ya tiGO na mengineyo nyingi hazisupport 4G/Lte. Sasa naomba msaada kwa yeyote anaefahamu duka naweza pata yenye kusupport 4G/Lte. Asanteni. CC😡ChiefMkwawa
Salaam wapendwa, Ninatafuta simu tajwa hapo juu siipati zilizopo kwenye maduka ya tiGO na mengineyo nyingi hazisupport 4G/Lte. Sasa naomba msaada kwa yeyote anaefahamu duka naweza pata yenye kusupport 4G/Lte. Asanteni. CC😡ChiefMkwawa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 26, 2015 #2 kwa kuongezea tu unatakiwa utafute model hii - Samsung galaxy core prime G360F pengine mwenye duka hajui kama ina 4g au haina zipo model nyingi kama -G360F -G360H -G360BT -G360G hakikisha unatafuta hio inayoishiwa na F ndio band zake zinakubali Tanzania
kwa kuongezea tu unatakiwa utafute model hii - Samsung galaxy core prime G360F pengine mwenye duka hajui kama ina 4g au haina zipo model nyingi kama -G360F -G360H -G360BT -G360G hakikisha unatafuta hio inayoishiwa na F ndio band zake zinakubali Tanzania
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,455 Reaction score 5,326 Sep 26, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: kwa kuongezea tu unatakiwa utafute model hii - Samsung galaxy core prime G360F pengine mwenye duka hajui kama ina 4g au haina zipo model nyingi kama -G360F -G360H -G360BT -G360G hakikisha unatafuta hio inayoishiwa na F ndio band zake zinakubali Tanzania Click to expand... Asante sana mkuu...
Chief-Mkwawa said: kwa kuongezea tu unatakiwa utafute model hii - Samsung galaxy core prime G360F pengine mwenye duka hajui kama ina 4g au haina zipo model nyingi kama -G360F -G360H -G360BT -G360G hakikisha unatafuta hio inayoishiwa na F ndio band zake zinakubali Tanzania Click to expand... Asante sana mkuu...