Kwanza inabid uingie setting kisha app alafu chagua app yako ya WhatsApp baada ya hapo clear data na cache kisha force stopped kisha tafuta app ya file manager clear cache na data kisha forced stoppedMsaada wakuu simu yangu nikituma picha thru WhatsApp zinakua inverted (upside down,rotated )na nikitaka kuweka profile picture on WhatsApp thru gallery nakuta photo ni chache tofauti tofauti na picha zilizopo zote.
Nimejaribu kutafuta solution bila mafanikio
Kwa maujanja na kuJifunze matatizo mbalimbali ya simu kompyuta app games software pamoja na suluhisho zake pia maujanja ya teknolojia kwa ujumla tembelea page yetu ujifunze vzaidiMsaada wakuu simu yangu nikituma picha thru WhatsApp zinakua inverted (upside down,rotated )na nikitaka kuweka profile picture on WhatsApp thru gallery nakuta photo ni chache tofauti tofauti na picha zilizopo zote.
Nimejaribu kutafuta solution bila mafanikio
Nimejaribu hii bila mafanikioKwanza inabid uingie setting kisha app alafu chagua app yako ya WhatsApp baada ya hapo clear data na cache kisha force stopped kisha tafuta app ya file manager clear cache na data kisha forced stopped
Alafu restart cmu yako kisha ingia setting alafu system au about phone kisha reset alafu reset app preference sasa fungua WhatsApp yako [emoji4] Anza kutumia tena
Nenda setting Kisha apps Kisha click zile dots juu chagua defaults badili kwenye galleryMkuu nimejaribu hii nimekwama mahali pa kuweka third party app iwe default
Habari mkuu Chief-Mkwawa naomba kuuliza kua ni sawa kununua Samsung a50 kwa sasa? Tena us versionNenda setting Kisha apps Kisha click zile dots juu chagua defaults badili kwenye gallery
Ina depend na Bei mkuu, ila A series zote Kuanzia A22 kupanda zina perfomance kubwa zaidi kuliko A50. Maybe chini ya laki 3 mkuu inaweza make sense.Habari mkuu Chief-Mkwawa naomba kuuliza kua ni sawa kununua Samsung a50 kwa sasa? Tena us version
Uko wapi nikuachie A52 6/128Habari mkuu Chief-Mkwawa naomba kuuliza kua ni sawa kununua Samsung a50 kwa sasa? Tena us version
Chief ,Nipe jina ya App ya ku-download series.Ina depend na Bei mkuu, ila A series zote Kuanzia A22 kupanda zina perfomance kubwa zaidi kuliko A50. Maybe chini ya laki 3 mkuu inaweza make sense.
bundle la mawazo ama una mb za kutosha?Chief ,Nipe jina ya App ya ku-download series.
Bando la kawaida tu Chief size ya kati.bundle la mawazo ama una mb za kutosha?
Chief nipe App jina Mkuubundle la mawazo ama una mb za kutosha?
Bando la kawaida tu Chief size ya kati.