Samsung galaxy A50

Samsung galaxy A50

Hvi hii kazi ya NFC ni nini hasa??
Contactless payment. Unalipia vitu pale checkout kwa kugusisha simu yako kwenye ile machine kma unavyogusisha card ya bank. Hii ni kma una payment app inayosupport hcho kitu kma Google Pay na Samsung pay (hii kitu bado haijawa adopted kwenye nchi yetu).

Inaweza tumika kunlock magari. Baadala ya kuwa na funguo au remote unatumia simu yako unagusisha kwenye kitasa cha mlango gari linafunguka. Hii keyless entry kwa sasa iko supported Tesla, Honda na Hyundai newer models.

Inaweza tumika kusoma NFC tags ambazo zinakua zina store information kma contacts, web address, commands ambazo ukigusisha simu inawasha hotspot, inafungua app flani, au inakuonesha location flani, n.k

Inatumika pia kuconnect headphones na earphones za bluetooth. Kwa mfano kuna headphones za Sony ambazo ukitaka kupair kwa haraka unagusisha simu na heaphone yenyewe ina pair na kuconnect kabisa. Sio mpk uanze kusearch kwenye bluetooth settings ili kupair heaphone zako.

Inatumika kushare mafile madogo kutoka simu moja kwenda nyingine. Unashare contact alaf unagusisha simu yako na simu nyingine kisha inatuma hilo file. Hii pia inatumika kma kwenye headphones hapo juu. Una pair simu mbili bila kwenda kuhangaika kuitafta kwenye bluetooth settings.

Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo NFC kwenye simu zinafanyia kazi.

Kama simu yako ina NFC unaweza kutest information zilizopo kwenye card yako ya bank. Nenda playstore na download app ya NFC Reader (NFC Reader - Apps on Google Play). Ifungue na uwashe NFC kisha gusisha hyo card nyuma ya simu yako utaona kuna number zipo stored kwenye yako ambazo zinatumika kwenye contactless payment. Card yako lazima iwe ya contactless payment na inakua na kialama flani hvi kma hapo kwenye picha. NMB na CRDB wanatoa card za aina hii sikuhz. Nadhan na bank zingine nazo wanatoa.

Simu inaweza kua NFC reader na transmitter lakini card hyo inakua ni transmitter tu.
images.jpeg-4~2.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Duuuh shukrani umefafanua hadi hao wamiliki wa NFC wameona wivu

Simu inaweza kua NFC reader na transmitter lakini card hyo inakua ni transmitter tu.View attachment 1667167

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app

Sent from my RS988 using JamiiForums mobile app
 
Tatzo region za Africa na US wanachelewesha sana updates. Model za region za Europe na UAE ndio wanawahishiwa updates. Mm nilikua na model ya region ya Poland (XEO) na updates zilikua zinakuja mapema sana. Regiom ya India pia huwa wanawahi kdgo ila sio sana. Model za Europe, UAE na US zina NFC lakini zingine zote hazina

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Hapo VPN haina msaada?
 
Yangu nimeweka protector ya kumimina sina wadieasi sana, ishadondoka hadi cover likapasuka konani ila bado haijavunja kioo
 
Back
Top Bottom