Samsung galaxy A50

Samsung galaxy A50

Nimeona news kuhusu one UI 2.5 rollout kwa galaxy A50 ni December ,je Kuna mtu yeyote simu yake imepata hiyo update?
Tayari
IMG_20201227_123216_728.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
samsung nao kwenye vioo ni tabu, A50 yangu inataka 250,000/= ya screen replacement
Display zao ni high quality na pia A50 ina OLED na sio LCD kwahyo gharama yake kubwa zaidi. Huwezi linganisha na Tecno.

Pia kma unabadilisha kwa mafundi hapa bongo kua makini. Wengi wanabakiziwa fake display ambazo sio OLED. Fake zinakua na Notch kubwa na chin yake inakua kubwa zaidi ya OG. Pia unapoteza fingerprint kwenye fake display. Kua makini sana.

Pic ya kwanza fake display, pic ya pili OG
-1086511480-691968749.jpg
View attachment 1660286

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Hadi wa leo simu yangu bado haijapata update ya one UI 2.5 nipo kenya
 
Hata mimi naisubiri kwa hamu.
Tatzo region za Africa na US wanachelewesha sana updates. Model za region za Europe na UAE ndio wanawahishiwa updates. Mm nilikua na model ya region ya Poland (XEO) na updates zilikua zinakuja mapema sana. Regiom ya India pia huwa wanawahi kdgo ila sio sana. Model za Europe, UAE na US zina NFC lakini zingine zote hazina

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Tatzo region za Africa na US wanachelewesha sana updates. Model za region za Europe na UAE ndio wanawahishiwa updates. Mm nilikua na model ya region ya Poland (XEO) na updates zilikua zinakuja mapema sana. Regiom ya India pia huwa wanawahi kdgo ila sio sana. Model za Europe, UAE na US zina NFC lakini zingine zote hazina

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Ukitumia vpn ku fake location inaweza kusaidia?
 
No. Kila simu ya samsung ina kitu kinaitwa CSC (Consumer Software Customization or Country Specific Code). Hii csc code ndio inadetermine region ya simu yako kwasababu kuna baadhi ya simu zinawekewa software features ambazo hazipo kwenye region yako.

Kwa mfano CSC code ya INS ni India na hii wanakua na Samsung Pay Mini wakati CSC code ya XEF (France) wanakua na Samsung Pay ya kawaida na CSC code ya Africa (AFR) inakua haina samsung pay kabisa.

Hii pia ina determine hata pre installed app kwenye simu. Samsung za India (INS) zinakuja na Snapchat, Insta, FB, nk wakati za sehem zingine zinakua hazina hizo app pre installed.

CSC code list hii hapa: Samsung CSC Codes List (All) | Change CSC on Samsung Devices

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Hvi hii kazi ya NFC ni nini hasa??

Back
Top Bottom