codifier JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 438 Reaction score 872 Sep 5, 2021 #1 Wakuu naomba ushauri ipi simu nzuri zaidi kati ya hizo, kwa kuwa nipo kwenye mpango wa kununua simu yenye specifications nzuri High processing power Ram at least 4gb or 6gb Memory at least 128gb Simu hizo nimeona kupitia link hii ya Tigo kwa bei tsh. 600,000 hadi 620,000 Phones for sale | Tigo Tanzania Tigo Official Website www.tigo.co.tz Pia nina iPhone 7, 128gb Iko fresh kabisa nimetumia miezi 2 tu na bado ipo na sealed yake naiuza tsh. 400,000 tu kama utaipenda Njoo pm. Nataka kuamia kwenye Android Ahsante na muwe jp njema Karibuni wakuu
Wakuu naomba ushauri ipi simu nzuri zaidi kati ya hizo, kwa kuwa nipo kwenye mpango wa kununua simu yenye specifications nzuri High processing power Ram at least 4gb or 6gb Memory at least 128gb Simu hizo nimeona kupitia link hii ya Tigo kwa bei tsh. 600,000 hadi 620,000 Phones for sale | Tigo Tanzania Tigo Official Website www.tigo.co.tz Pia nina iPhone 7, 128gb Iko fresh kabisa nimetumia miezi 2 tu na bado ipo na sealed yake naiuza tsh. 400,000 tu kama utaipenda Njoo pm. Nataka kuamia kwenye Android Ahsante na muwe jp njema Karibuni wakuu
codifier JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 438 Reaction score 872 Sep 5, 2021 Thread starter #2 Wakuu karibuni kwa ushauri
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,071 Reaction score 43,518 Sep 5, 2021 #3 Redmi note 10 pro by Far ni simu bora mkuu.
codifier JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 438 Reaction score 872 Sep 5, 2021 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: Redmi note 10 pro by Far ni simu bora mkuu. Click to expand... Ahsante mkuu kwa ushauri
Chief-Mkwawa said: Redmi note 10 pro by Far ni simu bora mkuu. Click to expand... Ahsante mkuu kwa ushauri
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Sep 5, 2021 #5 Umechemka kuchanganya mambo ya magari na mambo ya simu kwenye uzi mmoja. Ondoa hiyo mada ya magari peleka kwenye jukwaa la magari.
Umechemka kuchanganya mambo ya magari na mambo ya simu kwenye uzi mmoja. Ondoa hiyo mada ya magari peleka kwenye jukwaa la magari.
daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,342 Reaction score 3,231 Sep 5, 2021 #6 Zote ni nzuri
codifier JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 438 Reaction score 872 Sep 6, 2021 Thread starter #7 Behaviourist said: Umechemka kuchanganya mambo ya magari na mambo ya simu kwenye uzi mmoja. Ondoa hiyo mada ya magari peleka kwenye jukwaa la magari. Click to expand... Ahsante mkuu nimeondoa habari ya magari
Behaviourist said: Umechemka kuchanganya mambo ya magari na mambo ya simu kwenye uzi mmoja. Ondoa hiyo mada ya magari peleka kwenye jukwaa la magari. Click to expand... Ahsante mkuu nimeondoa habari ya magari
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Sep 6, 2021 #8 daraja la kigamboni said: Zote ni nzuri Click to expand... Siyo kweli.Redmi note 10 pro ni nzuri zaidi.
daraja la kigamboni said: Zote ni nzuri Click to expand... Siyo kweli.Redmi note 10 pro ni nzuri zaidi.