Kama simu unaitumia kwanini kwenye uzi wako umesema ni Brand new?
Au hujui maana ya brand new?
Brand new ni kitu ambacho hakijatumika,completely new,not used before,unused,
Kitu hata ukikitumia kwa siku moja tu basi kinakosa sifa ya kuitwa brand new,
Kila la kheri upate mteja wa kununua hiyo simu.