LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,695
- 13,324
Kwenye box naona hizi series made by samsung in vietnam, manufacture wa hizi battery za A series sijui ni nani but kipindi cha nyuma kulikuwa na mfumo wa mtu kutumia simu mbili sababu tach hazikai na chaji, yaani unakuta mtu mfukoni anatembea na power bank mda wote.
Lakini hizi A series hasa matoleo yenye 5000MH battery power , samsung hapa wamecheza kama pele.
Lakini hizi A series hasa matoleo yenye 5000MH battery power , samsung hapa wamecheza kama pele.