Samsung Galaxy 2 ina Hitajika

Samsung Galaxy 2 ina Hitajika

zebanga watelanga

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
862
Reaction score
398
wadaum polen kwamajukumu naitaji samsung galaxy 2 kawa laki 2 ambayo ipo powa haina scrachi na haijatumika muda mrefu
 
wadaum polen kwamajukumu naitaji samsung galaxy 2 kawa laki 2 ambayo ipo powa haina scrachi na haijatumika muda mrefu

mi nina samsung s2 used but iko in a very good condtion nauza laki 3 na ishirini
check picha s2.jpeg s22.jpeg
 
ha ha ha.hata dukan hupat kwa lak 2.labda iwe copy weweee.s2 jpange kuanzia lak4 kaka.hyo 2 utapata inastuck kla mara...tafta huawei ascend kama unashda sana ya androids...
 
hiyo 2 utapata inastuck kla mara

Aisee, mimi ninayo ya hivyo. Ni majanga, kumbe ni asili yake. Nilitaka kuipeleka kwa fundi ngoja niache. Yaani, mara herufi fulani zinashindwa kufanya kazi, mara kitufe cha kupokea kinagoma, yaani matatizo mia mbili kasoro tatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom