uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
32inch dukani ni laki 6.5 na 55inch dukani ni 2.2milion mkuu. Hizi hata nikikuletea bado mpya kwani hazijatumika kiivo. Labda we sema unataka ipi tuelewane kwani kupunguza inawezekana.Ndo bei ya mpya kwa Abdulwahid yuko humu anauza hizo
Punguza bei mkuu
Wapatikana wapi !!!???Nauza Samsung flat screen ipo ya 32inch ledtv h4100, ina mwaka mmoja, Bei 500000.
Na ipo Samsung ya 55inch, ledtv j5100, series 5 ina miezi 9. Bei 1.5m nakupa na lisiti yake.
Africana mbeziWapatikana wapi !!!???
0777 650 286Yupo abdulwahid anapatikana wapi aisee?
32inch dukani ni laki 6.5 na 55inch dukani ni 2.2milion mkuu. Hizi hata nikikuletea bado mpya kwani hazijatumika kiivo. Labda we sema unataka ipi tuelewane kwani kupunguza inawezekana.
Nakuhakikishia kuwa nakuuzia Mali nzuri isiyo na shaka. Nilihamishwa kikazi nikafunga nyumba na kuondoka. Nimepata likizo ndo nataka niuze hizi tv ili niweze kutatua shida zangu. TV zote bado zina mng'ao kama ndo zimetoka dukani Leo kwani muda mwingi nilikua sikai nyumbani kuziangalia. Nina kila sababu ya kuziita mpya.Tangazo linaonyesha kuwa hizo tv zilikuwa katika matumizi. Kwanini unauza? Hofu yangu isije ikawa tayari zimepata ubovu.
Kumbuka na gharama za usafirishaji bila kusahau na tozo jipya la TRA la elfu 50000.Abdulwahid anauza mpya kwa bei hyo
Ni series gani? ni LED au LCD?32inch dukani ni laki 6.5 na 55inch dukani ni 2.2milion mkuu. Hizi hata nikikuletea bado mpya kwani hazijatumika kiivo. Labda we sema unataka ipi tuelewane kwani kupunguza inawezekana.
Mi sihitaj tv mkuu nnayo tayari. Nilikuwa nakupa angalizo tuKumbuka na gharama za usafirishaji bila kusahau na tozo jipya la TRA la elfu 50000.
Akiileta hivi sasa itakua so chini ya laki 6.
Nitakutolea 50000. Ibaki 450000 hapo napo wasemaje.
Kaka usitoe lisiti tafadhal,italeta shida we toa (risiti)stakabadhi au" Receipt"Nauza Samsung flat screen ipo ya 32inch ledtv h4100, ina mwaka mmoja, Bei 500000.
Na ipo Samsung ya 55inch, ledtv j5100, series 5 ina miezi 9. Bei 1.5m nakupa na lisiti yake.
Ni LED series 4Ni series gani? ni LED au LCD?
Ina HDMi... series 4...h4100... inch...vip iyo 32inch iko na BUILT DECODER