Samsung Flat Screen 21Inch Inauzwa

Samsung Flat Screen 21Inch Inauzwa

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Habari ndungu zangu.. Kama tangazo linavyosema ninauza TV inchi 21 aina ya Samsung na sababu ya kuuza ni nimepata TV nyingne kubwa zaidi.. Atakae kuwa interested tafadhali nitafute kwenye number hii 0712 22 02 07
 

Attachments

  • 1443724989433.jpg
    1443724989433.jpg
    110.8 KB · Views: 228
  • 1443724957650.jpg
    1443724957650.jpg
    115.9 KB · Views: 176
bei gani mkuu? na uko wapi... ipi tatizo lake na Ina Muda gani
 
Ina muda wa miezi nane na haina tatizo lolote kama nilivyoeleza sababu ya kuuza ni nimepata kubwa zaidi.. Na niko dar es Salaam.. Bei ni laki mbili nanusu..
 
Bei ni laki mbili nanusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom