SAMSUNG CAUGHT USING DSLR PHOTO ON GALAXY A 8.

[emoji3][emoji3] hii imekua kawaida sana kwa Manufacture wakubwa ..sema hapa samsung wamemkamata live..Dah [emoji23][emoji23]
 

Hili liko wazi.

Hata huko kwenye hizo simu kuna picha unaona kabisa hii haikupigwa na simu,ni senser kali imefanya mambo.mtu anapiga picha akiwa juu ya jengo la ccm vijana mfano,picha inaonyesha clear mpaka majengo ya morocco square au tpa tower[emoji23]

Nenda wewe ujalibu na simu yako ya mp 21, ya million tatu,utaona vituko hujawahi ona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…